Habari Rfi-ki
Viongozi wa umoja wa ulaya na umoja wa Afrika wakutana Luanda Angola
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:10:08
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Viongozi wa Afrika na wale wa umoja wa Ulaya wamekutana nchini Angola, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa usalama na kiuchumi, rasilimali za bara hilo zikimulikwa na mataifa yenye nguvu ambayo yameongeza kasi ya uwekezaji kwenye bara hilo. Tumekuuliza unaamini ushirikiano uliopo unanufaisha pande zote ? Ushirikiano wa aina gani Afrika inapaswa kuwa nao na nchi za magharibi?