Habari Rfi-ki

Siku ya kimataifa ya kupambana na virusi vya ukimwi

Informações:

Sinopsis

Siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya UKIMWI, Umoja wa Mataifa unasema kupungua kwa misaada kunatishia dunia kufikia lengo la kudhibiti ugonjwa huu ifikapo mwaka 2030, huduma za kinga zimevurugika hasa kwenye nchi masikini.  unazungumziaje siku hii, je dunia tumepiga hatua kukabiliana na ugonjwa huu? Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji.