Habari Rfi-ki
Uganda: Je midahalo ina manufaa kuelekea uchaguzi
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:09:22
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Nchini Uganda, wawaniaji wa urais wameshiriki mdahalo kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao, huku rais Museveni akisusia mdahalo huo. Je, unafikiri midahalo huwa na mchango wowote kwa wapiga kura kuelekea siku ya uchaguzi? Skiza baadhi ya maoni ya waskilizaji.