Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 17 Julai 2023
17/07/2023 Duración: 06minWatendaji wa kampuni ya ushauri ya Deloitte wafika mbele ya kikao cha Seneti baada ya kuvuja kwa sakala la ushuru la kampuni ya PwC.
-
Rais Ruto "Sitaruhusu maandamano Kenya"
17/07/2023 Duración: 07minRais wa Kenya Dkt William Ruto ameapa kutoruhusu kufanyika kwa maandamano ya upinzani ambayo yamepangwa kufanyika wiki ijayo.
-
Taarifa ya Habari 16 Julai 2023
16/07/2023 Duración: 19minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ame ondoka nchini usiku wa leo aki elekea nchini India, ambako atawakilisha Australia katika mikutano ya G-20 mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu mjini Gandhinagar.
-
Dr Joel Kimeto afunguka kuhusu safari yake katika sanaa
16/07/2023 Duración: 38minDr Joel Kimeto ni msanii maarufu wa nyimbo za injili ndani na nje ya Kenya.
-
Taarifa ya Habari 15 Julai 2023
16/07/2023 Duración: 06minUpigaji kura umeanza katika eneo bunge la Fadden ambalo liko Gold Coast, wagombea wakifanya kampeni za dakika za lala salama kwa umma.
-
Taarifa ya Habari 14 Julai 2023
14/07/2023 Duración: 05minMichele Bullock atakuwa Gavana mpya wa Benki Kuu ya Australia.
-
Jamii ya wakenya waomboleza kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo
13/07/2023 Duración: 09minKifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo kimezua majonzi na simanzi, katika jumuiya ya wakenya nchini Australia.
-
Ni makaazi gani yanapatikana kwa wanafunzi
12/07/2023 Duración: 11minAustralia ni moja ya sehemu zinazo vutia kusomea ng'ambo.
-
Taarifa ya Habari 11 Julai 2023
11/07/2023 Duración: 19minAustralia na Ujerumani zatia saini ya biashara huru naku ahidi misaada ya ziada kwa Ukraine.
-
Balozi Ali Karume afutwa uanachama CCM
10/07/2023 Duración: 07minChama tawala cha CCM Zanzibar, kimemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume na kumtaka arejeshe kadi ya chama hicho.
-
Taarifa ya Habari 9 Julai 2023
09/07/2023 Duración: 19minWaziri wa Elimu wa shirikisho Jason Clare amesema itabidi waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, aishi na madhara ya mfumo wa robodebt katika dhamira yake.
-
Isaac "Viongozi wengi wa Afrika wanachaguliwa na mataifa ya Magharibi"
06/07/2023 Duración: 11minWanachama wa Jumuiya ya DR Congo wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika hafla maalum yaku adhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi yao pendwa.
-
Unastahili zingatia nini unapo panga kuhamia katika jimbo lingine?
05/07/2023 Duración: 09minKila mwaka, ma mia ya maelfu yawa Australia huhama kutoka majimbo wanako ishi kwa sababu za kazi, elimu, maisha, familia au msaada bora wa jamii.
-
Taarifa ya Habari 4 Julai 2023
04/07/2023 Duración: 17minWaziri wa Fedha akaribisha uamuzi wa benki ya hifadhi wakuto ongeza kiwango cha riba.
-
Mahakama yasema mipango ya serikali ya Uingereza kwa waomba hifadhi ni kinyume cha sheria
04/07/2023 Duración: 04minMpango wa serikali ya Uingereza waku wapeleka waomba hifadhi Rwanda, ume patwa kuwa ni kinyume ya sheria na mahakama moja mjini London.
-
Kikosi cha ATMIS cha anza kuondoka Somalia
03/07/2023 Duración: 08minViongozi wa jeshi la Umoja wa Afrika nchini Somalia, wamesema wamekamilisha awamu ya kwanza ya kupunguza idadi ya vikosi vyao nchini humo.
-
Taarifa ya Habari 2 Julai 2023
02/07/2023 Duración: 14minWaziri Mkuu Anthony Albanese asema, ziada ya bajeti kuweka Australia katika nafasi imara kiuchumi.
-
Kuadhimisha wiki ya NAIDOC
02/07/2023 Duración: 08minWiki ya sherehe na kutambua historia na mafanikio yawa Aboriginal, inayo julikana kwa jina la NAIDOC ime anza leo Julai 2.
-
Taarifa ya Habari 27 Juni 2023
27/06/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese atetea hatua za serikali yake kukabili mgogoro wa utoaji wa nyumba.
-
Ongezeko ya gharama ya maisha yawaacha wafanyakazi wa mshahara wa chini bila uwezo wakumudu vitu vya msingi
27/06/2023 Duración: 08minUtafiti mpya ume pata kuwa mfanyakazi nchini Australia wa wakati wote, anaye lipwa mshahara wa chini, huwa ana salia tu na $57 baada ya gharama mhimu za kila wiki.