Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 115:58:03
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Muthoni "kuna vitu unaweza fanya kupunguza kasi ya ugonjwa wa dementia"

    25/07/2025 Duración: 14min

    Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.

  • Taarifa ya Habari 25 Julai 2025

    25/07/2025 Duración: 15min

    Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.

  • Australia Yafafanuliwa: pengo la elimu yawa Australia wa Asili na njia ya mbele

    25/07/2025 Duración: 16min

    Elimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.

  • Taarifa ya Habari 24 Julai 2025

    24/07/2025 Duración: 06min

    Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.

  • Dr Nadine "Afrika Diaspora Co-operative itatupa fursa za uwekezaji"

    23/07/2025 Duración: 12min

    Wanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.

  • SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu

    22/07/2025 Duración: 14min

    Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?

  • Taarifa ya Habari 22 Julai 2025

    22/07/2025 Duración: 14min

    Waziri Msaidizi wa Waziri Mkuu amesema serikali iko tayari kuwafanyia kazi wa Australia, katika kikao cha kwanza cha bunge la shirikisho hii leo.

  • Msimu mpya wa Bunge wafunguliwa Canberra- kwa wakongwe na wageni

    22/07/2025 Duración: 14min

    Wanasema siasa hutengeza wenza wa ajabu, na bunge la 48 limejaa wenza hao.

  • Rwanda yajipata pabaya katika ripoti ya kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa

    07/07/2025 Duración: 07min

    Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.

  • Taarifa ya Habari 4 Julai 2025

    04/07/2025 Duración: 15min

    Kamishna wa zamani wa tume yakifalme ame kosoa serikali, kwa kufeli kuchukua hatua haraka kwa mfumo wakitaifa wakufanya ukaguzi kwa ajili yakufanya kazi na watoto.

  • Jinsi pombe inavyodhibitiwa na kutumiwa nchini Australia

    04/07/2025 Duración: 15min

    Huenda umesikia kwamba wa Australia ‘ni maarufu kwa kunywa’, haswa wakati wa matukio makubwa ya michezo au katika siku kuu za umma.

  • Shangwe na furaha ya shuhudiwa jijini Fairfield, NSW

    03/07/2025 Duración: 06min

    Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.

  • Taarifa ya Habari 1 Julai 2025

    01/07/2025 Duración: 15min

    Mamia ya wafanyakazi wa huduma za dharura, helikopta na magari yawataalam yako katika hali ya tahadhari wakati kimbunga kina elekea katika maeneo ya kanda yanayo endelea kupona mafuriko mabaya katika eneo la Kaskazini New South Wales.

  • Uwakilishi wa Mataifa ya Kwanza katika vyombo vya habari: Nini kinabadilika, kwa nini ni muhimu

    01/07/2025 Duración: 12min

    Uwakilishi wa WaAustralia wa Asili katika vyombo vya habari kihistoria umechangiwa na mila potofu na kutengwa ila, hali hii inabadilika pole pole.

  • Taarifa ya Habari 30 Juni 2025

    30/06/2025 Duración: 07min

    Anthony Albanese amesema Australia haita ongeza matumizi yake ya ulinzi mwezi wa Aprili ijayo kama sehemu ya mkakati wa ulinzi wa taifa, baada ya wito kutoka Marekani kupiga jeki bajeti ya Ulinzi.

  • Wakenya waingia debeni jimboni Victoria

    27/06/2025 Duración: 13min

    Wanachama wa Jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria (KCV), wanashiriki katika uchaguzi wa bodi mpya ya viongozi wao.

  • Taarifa ya Habari 27 Juni 2025

    27/06/2025 Duración: 15min

    Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi hadi asilimia 3.5 ya pato la taifa.

  • Australia ya Fafanuliwa: Mwongozo wako wa safari za theluji nchini Australia

    27/06/2025 Duración: 16min

    Unapenda theluji kiasi gani? Au ume wahi iona?

  • Taarifa ya Habari 26 Juni 2025

    26/06/2025 Duración: 04min

    Waziri wa fedha wa shirikisho Katy Gallagher ametetea bajeti ya ulinzi ya Australia, wakati kuna shinikizo kutoka humu ndani na kutoka ng’ambo.

  • SBS Learn Eng Ep 39 Jinsi yakufanya marejesho yako ya ushuru

    26/06/2025 Duración: 16min

    Je, unajua jinsi yakufanya marejesho ya ushuru?

página 1 de 28