Habari Za Un
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali "MZOEA PUNDA HAPENDI FARASI"
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:05
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali "MZOEA PUNDA HAPENDI FARASI"