Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 24 Julai 2025

Informações:

Sinopsis

Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.