Habari Za Un
Mkimbizi wa Haiti aliyepata faraja na matumaini nchini Mexico
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:02:02
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Wakati raia wa Haiti Giovanni Rotschild alipowasili Mexico mwaka 2022 baada ya safari ndefu isiyo na uhakika kutoka nchi mwake kulikosheheni ghasia, hakufahamu mtu yeyote wala hakuzungumza kabisa lugha ya kispanyola. Lakini msaada alipata msaada kumwezesha kujenga upya maisha na kupata jamii mpya. Flora Nducha na maelezo zaidi.