Habari Za Un
Ukraine: Mashambulizi ya Urusi dhidi ya raia kwa kutumia ndege zisizo na rubani yaangaziwa
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:44
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Tume Huru ya Umoja wa Mataifa ya Uchunguzi kuhusu Ukraine imehitimisha kwamba vikosi vya kijeshi vya Urusi vimetenda uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu, hasa mauaji, kupitia mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (drones) yaliyoelekezwa dhidi ya raia. Anold Kayanda na maelezo zaidi.