Habari Za Un

Mifuko iliyojazwa mchanga  yafanikisha Barabara kupitika nchini Kenya

Informações:

Sinopsis

Nchini Kenya, katika kaunti ya Meru hatua rahisi iliyochukuliwa inaleta mabadiliko makubwa na dhahiri kwani maeneo ambako awali barabara zilikuwa hazipitiki na hakuna mawasiliano, ubunifu wa kijapani umerejesha matumaini. Kulikoni? Assumpta Massoi anasimulia kupitia video ya Benki ya Dunia.