Habari Za Un
Wataalamu huru walaani mashambulizi ya kikatili dhidi ya wanawake na wasichana - Sudan
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:50
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Wataalamu huru wa haki za binadamu, leo Mei 14 wamekemea vikali ukiukwaji mkubwa na wa kimfumo dhidi ya wanawake na wasichana nchini Sudan ukiwemo ukatili wa kingono unaohusiana na vita, utekaji nyara, na mauaji, ambayo mengi yameripotiwa kufanywa na kundi la kijeshi la Rapid Support Forces (RSF). Anold Kayanda na taarifa zaidi.