Sinopsis
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.
Episodios
-
Somo 06 – Pengine anahitaji msaada?
17/03/2009 Duración: 14minMgeni wa ajabu katika chumba namba 15...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno
-
Somo 05 – Basi haliwezi kuwa na haiba!
17/03/2009 Duración: 14minAndreas na Ex wanacheza mchezoMuhtasari wa sarufi: Marudio ya viwakilishi vya binafsi (personal pronouns)
-
Somo 04 – Haiwezekani (Haipendezi)!
17/03/2009 Duración: 15minKero hata na meneja wa hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kiambishi awali (prefix) un- na kiambishi tamati (suffix)-in
-
Somo 03 – Iko katikati ya mji
17/03/2009 Duración: 14minKero jengine na wageni wa hoteli...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mwendesho wa vitendo
-
Somo 02 – Naweza kukusaidia?
17/03/2009 Duración: 15minMabwana wageni na mabibi wa makamo – Andreas akiwa kazini kwenye mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu können
-
Somo 01 – Wewe ni nani?
17/03/2009 Duración: 16minJe, umeikosa Sehemu ya 1? Humo wahusika walikuwa...Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya